Uhuru Fm ni kituo kinachorusha matangazo yake kutoka Dar es Salaam Tanzania na Madhumuni ya Redio hii ni Kuelimisha Watanzania kuhusu nchi yao, Kuwastarehesha, kuinua viwango vya wasanii wa Kitanzania na kutoa habari kwa ujumla wake.